Mabata maji mwitu – The Wild Swans (Kiswahili – Kiingereza) (eBook)
"Mabata maji mwitu" na Hans Christian Andersen ni moja ya hadithi za dunia maarufu zaidi kwa sababu nzuri. Katika umbo yake lisilo na wakati linataja masuala yanayopigwa na drama ya binadamu: hofu, ujasiri, upendo, usaliti, kutengana na muungano.
♫ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha audiobook katika lugha zote mbili.
► Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.
Bilingual children's picture book (Swahili – English), with online audio and video
"The Wild Swans" by Hans Christian Andersen is, with good reason, one of the world's most popular fairy tales. In its timeless form it addresses the issues out of which human dramas are made: fear, bravery, love, betrayal, separation and reunion.
The edition at hand is a lovingly illustrated picture book recounting Andersen's fairy tale in a sensitive and child-friendly form. It has been translated into a multitude of languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages.
♫ Listen to the story read by native speakers! Within the book you'll find a link that gives you free access to audiobooks and videos in both languages.
► With printable coloring pages! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.
Hans Christian Andersen alizaliwa katika mji wa Odense mnamo 1805, na akafa mwaka 1875 huko Copenhagen. Alipata umaarufu wa dunia kwa hadithi zake za fasihi kama vile "Binti Nguva", "Nguo Mpya za Mfalme" na "Bata wenye sura mbaya". Hadithi uliyonayo, "Mabata Maji Mwitu", ilichapishwa kwanza mwaka wa 1838. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya mia moja na ilichukuliwa kwa vyombo vya habari mbalimbali ikiwa ni pamoja na sinema, filamu na muziki. Ulrich Renz alizaliwa huko Stuttgart, Ujerumani, mwaka wa 1960. Baada ya kusoma fasihi za Kifaransa huko Paris alihitimu shule ya matibabu huko Lübeck na alifanya kazi kama mkuu wa kampuni ya kuchapisha kisayansi. Sasa ni mwandishi wa vitabu vya uongo na vitabu vya watoto vya uongo. Marc Robitzky, alizaliwa mwaka wa 1973, alisoma katika Shule ya Ufundi ya Sanaa huko Hamburg na Chuo cha Sanaa ya Maonyesho huko Frankfurt. Anafanya kazi kama mtayarishaji huru na mawasiliano katika Aschaffenburg (Ujerumani).
Erscheint lt. Verlag | 16.10.2022 |
---|---|
Illustrationen | Marc Robitzky |
Übersetzer | Josephat William, Pete Savill, Ludwig Blohm |
Verlagsort | Lübeck |
Sprache | englisch |
Themenwelt | Kinder- / Jugendbuch ► Bilderbücher ► Erzählerische Bilderbücher |
Kinder- / Jugendbuch ► Spielen / Lernen ► Sprachen | |
Schlagworte | bilingual children's book Swahili English audio-book mp3 download • bilingual children's book Swahili English from 4-5 6 years age dual • chekechea shule darasa mtoto • from 3-4 5 6 years age dual two languages picture-book • ki-mataifa kitamaduni usiku mwema ku-lala kitanda • kindergarten pre-school • ki-swahili suahili suaheli mwanzoni tafsiri • kuji-funza ya kigeni familia mbalimbali elimu • teach-ing foreign course basic read-er multilingual-ism education grow intercultural family • two languages picture-book audio-book video • usiku mwema ku-lala kitanda • wazazi kusafiri nje ya nchi kusoma • wild swans fairy-tale Hans-Christian Andersen language learn-ing study translation student beginner |
ISBN-10 | 3-7399-5751-4 / 3739957514 |
ISBN-13 | 978-3-7399-5751-7 / 9783739957517 |
Haben Sie eine Frage zum Produkt? |
Größe: 48,6 MB
DRM: Digitales Wasserzeichen
Dieses eBook enthält ein digitales Wasserzeichen und ist damit für Sie personalisiert. Bei einer missbräuchlichen Weitergabe des eBooks an Dritte ist eine Rückverfolgung an die Quelle möglich.
Dateiformat: EPUB (Electronic Publication)
EPUB ist ein offener Standard für eBooks und eignet sich besonders zur Darstellung von Belletristik und Sachbüchern. Der Fließtext wird dynamisch an die Display- und Schriftgröße angepasst. Auch für mobile Lesegeräte ist EPUB daher gut geeignet.
Systemvoraussetzungen:
PC/Mac: Mit einem PC oder Mac können Sie dieses eBook lesen. Sie benötigen dafür die kostenlose Software Adobe Digital Editions.
eReader: Dieses eBook kann mit (fast) allen eBook-Readern gelesen werden. Mit dem amazon-Kindle ist es aber nicht kompatibel.
Smartphone/Tablet: Egal ob Apple oder Android, dieses eBook können Sie lesen. Sie benötigen dafür eine kostenlose App.
Geräteliste und zusätzliche Hinweise
Buying eBooks from abroad
For tax law reasons we can sell eBooks just within Germany and Switzerland. Regrettably we cannot fulfill eBook-orders from other countries.
aus dem Bereich