Nicht aus der Schweiz? Besuchen Sie lehmanns.de

Tungo Zetu (eBook)

Msingi wa Mashairi na Tungo Nyinginezo
eBook Download: EPUB
2023
219 Seiten
Distributed By PublishDrive (Verlag)
978-1-3999-3998-0 (ISBN)

Lese- und Medienproben

Tungo Zetu -  Ibrahim Noor Shariff
Systemvoraussetzungen
52,74 inkl. MwSt
(CHF 51,50)
Der eBook-Verkauf erfolgt durch die Lehmanns Media GmbH (Berlin) zum Preis in Euro inkl. MwSt.
  • Download sofort lieferbar
  • Zahlungsarten anzeigen
Wataalamu wa lugha na fasihi na mila za watu mbalimbali wametuzindua juu ya utajiri wa fasihi ya Waswahili. Katika fasihi hiyo, tungo za Kiswahili ndilo jambo lililojitokeza mbele kwa mwanga wenye kunawiri sana. Profesa Ibrahim Noor Shariff amefanya utafiti mkubwa kabla ya kukiandika kitabu hiki. Natija yake ni kuwa yaliyoelezwa humu yametufunulia mengi yaliyokuwa dafina. Tokea 1988 kilipochapishwa kitabu hiki kwa mara ya kwanza kimekuwa ni kitabu cha kukirejelea kwani kinaeleza yale ambayo watungaji wa tungo za Kiswahili, wataalamu, waalimu na wanafunzi wanaotaka kuelewa khabari za tungo huwa wanakirejelea mara kwa mara ili kupata jawabu za masuala yao.Kitabu hiki kimepangwa vizuri sana kwani kila maudhui yameandikwa chini ya kichwa cha khabari kinachoelezea maudhui yanayofuata. Hali kadhalika, kitabu kina mifano ya tungo za kupigiwa mifano. Yoyote anayetaka kuzungumza khabari za tungo za Waswahili hataweza tena kujadili mengi ya maana iwapo atajinyima fursa ya kusoma yaliyoandikwa katika kitabu hiki cha Tungo Zetu.Profesa Ibrahim Noor Shariff amezaliwa kisiwani Unguja mnamo mwaka wa 1941. Amesoma katika skuli mbalimbali za Unguja na Pemba (Zanzibar). Baada ya kumaliza madarasa ya upili, amesoma masomo ya sanaa katika Chuo Kikuu cha Makerere na kupata shahada ya D.F.A. mwaka wa 1967. Baadaye amesoma katika Chuo Kikuu cha Rutgers, New Jersey, Marekani na kupata shahada ya Udaktari wa Ilimu ya Sanaa 1983. Alisomesha sanaa na Kiswahili katika chuo hichohicho cha Rutgers kuanzia mwaka wa 1970. Mwaka wa 1996 alihamia Oman na kusomesha Sanaa katika Chuo Kikuu cha Sultan Qaboos mpaka alipostaafu 2019. Profesa Ibrahim ameonesha kazi zake za sanaa mwahala mwingi duniani na ameandika mengi kukhusu Waswahili na fasihi yao.
Erscheint lt. Verlag 25.9.2023
Sprache Swahili
Themenwelt Schulbuch / Wörterbuch Lektüren / Interpretationen
Schulbuch / Wörterbuch Wörterbuch / Fremdsprachen
Geisteswissenschaften Sprach- / Literaturwissenschaft Anglistik / Amerikanistik
Geisteswissenschaften Sprach- / Literaturwissenschaft Literaturwissenschaft
Geisteswissenschaften Sprach- / Literaturwissenschaft Sprachwissenschaft
Schlagworte Banadir Somalia • Kilwa Pate • Swahili Coast • Swahili Kiswahili Waswahili • Swahili Poet Poetry • Ushairi Washairi • Zanzibar Kenya Tanzania Mombasa Lamu Pemba
ISBN-10 1-3999-3998-X / 139993998X
ISBN-13 978-1-3999-3998-0 / 9781399939980
Haben Sie eine Frage zum Produkt?
EPUBEPUB (Adobe DRM)

Kopierschutz: Adobe-DRM
Adobe-DRM ist ein Kopierschutz, der das eBook vor Mißbrauch schützen soll. Dabei wird das eBook bereits beim Download auf Ihre persönliche Adobe-ID autorisiert. Lesen können Sie das eBook dann nur auf den Geräten, welche ebenfalls auf Ihre Adobe-ID registriert sind.
Details zum Adobe-DRM

Dateiformat: EPUB (Electronic Publication)
EPUB ist ein offener Standard für eBooks und eignet sich besonders zur Darstellung von Belle­tristik und Sach­büchern. Der Fließ­text wird dynamisch an die Display- und Schrift­größe ange­passt. Auch für mobile Lese­geräte ist EPUB daher gut geeignet.

Systemvoraussetzungen:
PC/Mac: Mit einem PC oder Mac können Sie dieses eBook lesen. Sie benötigen eine Adobe-ID und die Software Adobe Digital Editions (kostenlos). Von der Benutzung der OverDrive Media Console raten wir Ihnen ab. Erfahrungsgemäß treten hier gehäuft Probleme mit dem Adobe DRM auf.
eReader: Dieses eBook kann mit (fast) allen eBook-Readern gelesen werden. Mit dem amazon-Kindle ist es aber nicht kompatibel.
Smartphone/Tablet: Egal ob Apple oder Android, dieses eBook können Sie lesen. Sie benötigen eine Adobe-ID sowie eine kostenlose App.
Geräteliste und zusätzliche Hinweise

Buying eBooks from abroad
For tax law reasons we can sell eBooks just within Germany and Switzerland. Regrettably we cannot fulfill eBook-orders from other countries.

Mehr entdecken
aus dem Bereich
The Structure of Disorder in the Anatomy of Melancholy

von Ruth A. Fox

eBook Download (2023)
University of California Press (Verlag)
CHF 48,80